HabariPilipili FmPilipili FM News

Ajali Eneo La Dongo Kundu.

Dereva mmoja wa lori auguza majeraha hospitalini baada ya kuhusika kwanye ajalli iliyotokea mapema hii leo eneo la Dongo Kundu by pass.

Akithibitisha ajali hiyo, OCS wa SGR Miritini Gerad Wema amesema lori hilo la miguu kumi lilikuwa likitoka bandarini kuelekea Bonje kabla ya kukosa mwelekeo na kuangusha kuta za njia ya barabara hiyo.

Aidha amewashauri madereva wa barabara hiyo kuwa waangalifu.

Show More

Related Articles