Swahili Videos

Wauguzi katika kaunti kadha zajiunga na wenzao waliogoma

Wauguzi kutoka kaunti za Nakuru na Narok wamejiunga na wauguzi wengine katika mgomo wao huku wakiitaka serikali ya kaunti kutekeleza mkataba wao wa maafikiano wa mwaka 2017.
Huku hayo yakijiri, katibu mkuu wa chama cha wauguzi nchini, KNUN sasa anataka ukaguzi ufanyiwe magavana wote.

Show More

Related Articles