HabariMilele FmSwahili

Wakenya waungana na familia ya shujaa Dedan Kimathi kumkumbuka

Wakenya wa tabaka mbalimbali wameungana na familia ya shujaa wa maumau Dedan Kimathi, katika msitu wa Aberdare kumkumbuka. Kimathi aliuwawa siku kama ya leo mwaka wa 1957 kwa kunyongwa wakati akipigania wakenya kujinasua kutoka kwa wakoloni. Katika juhudi za kumkumbuka wakenya wametakiwa kuja pamoja kupambana na ufisadi na changamoto zingine kwa ujasiri.

Show More

Related Articles