HabariMilele FmSwahili

Tume ya ardhi kuzindua mfumo wa digitali wa kupata habari na stakabadhi kuhusu ardhi

Tume ya ardhi nchini inatarajiwa kuzindua mfumo ambao utawawezesha wakenya kupata mara moja taarifa na stakabadhi zote kuhusu ardhi humu nchni. Mfumo huo wa kidigitali unazindulwia wakati mwenyekiti na makamishna wa tume hiyo wanakamilisha kipindi chao, cha miaka mitano.Kamihsna katika tume hiyo Samuel Tororei anasema mfumo huu utakuwa muhimu kuwapunguzia wakenya mzigo wa upatikanaji habari hizo muhimu

Show More

Related Articles