K24 TvNEWSSwahiliVideos

SAKATA YA UTEKAJI NYARA WA SILVIA ROMANO

Raia wa Kiitaliano, Silvano Romano, aliyetekwa nyara mwaka uliopita kutoka makao yake katika kaunti ya Kilifi sasa imebainika kwamba huenda alitekwa nyara na wafanyibiashara haramu wa pembe za ndovu.

Kulingana na ripoti hizo, Silvano alikuwa akishirikiana na wakiritimba katika biashara ya pembe za ndovu na vifaru na siku chache tu kabla ya kutoweka kwake, inadaiwa alikuwa amenunua vipande kadhaa vya pembe za ndovu kutoka kwa watu wanaosakwa na maafisa wa polisi baada ya ugomvi wa malipo kati yao.

Show More

Related Articles