K24 TvNEWSSwahiliVideos

MAAFA BARABARANI

Watu kumi wamefariki Jumapili baada ya kuhusika kwenye ajali mbaya ya barabarani eneo la Kamara kwenye barabara kuu ya Nakuru-Eldoret.

Ajali hiyo ilihusisha basi la kampuni ya Greenline Safaris lilo kuwa  likielekea Nairobi kutoka Bungoma likiwa na abiria 65 na lorry.

Show More

Related Articles