K24 TvNEWSSwahiliVideos

MZOZO WA KENYA NA SOMALIA

Mzozo wa kidiplomasia baina ya Kenya na Somalia unadhihirika kuchacha baada ya serikali ya Somalia kuondoa balozi wao humu nchini. Hatua ya Somalia inafuatia uamuzi wa Kenya pia kurejesha nchini balozi wao kutoka Somalia Luetin General Mstaafu Lucas Tumbo.

Je, mzozo huu unaashiria nini katika mahusiano ya Kenya na Somalia katika siku za usoni?

Show More

Related Articles