HabariMilele FmSwahili

Watu 3 wanaotuhumiwa kwa mauji ya Mary Wamboi wafikishwa mahakamani

Watu watatu wanaotuhumiwa kwa mauji ya mfanyibiashara Mary Wambui wamefikishwa mahakamani, maafisa wa upelelezi wakitaka wandele kuzuiliwa kwa siku 14 zaidi kwa uchunguzi. Hata hivyo mawakili wake Joseph Kori mumewe marehemu anataka mahakama kuuachilwia kwa dhamana wakait kesi hiyo ikiendelea.Kesi hiyo inaskizwa na hakimu mkuu wa mahakama ya Thika Stellla atambu ambaye anatarajiwa kutoa uamuzi alasiri hii kuhusiana na maombi hayo.

Show More

Related Articles