HabariMilele FmSwahili

Watu 5 wafariki kufuatia ajali ya ndege Londiani kaunti ya Kericho

Watu 5 wahofiwa kufariki kufuatia ajali ya ndege Londiani kaunti ya Kericho. Ndege hiyo inaarifiwa kuanguka katika msitu wa makutano eneo hilo. Akidhibitisha tukio hilo kamanda wa polisi Rifty Valley Edward Mwamburi amesema kikosi cha waokoaji kimetumwa katika eneoa la tukio.

Show More

Related Articles