HabariMilele FmSwahili

Mahakama kuamua iwapo kesi ya NYS dhidi ya Lilian Omollo na washukwia wengine 3 itaendelea

Jaji wa mahakma ya kupambana na ufisadi Lucas Onyina ataatoa uamuzi kuhusaia na na kesi ya NYS inayowahusisha washukiwa watatu pamoja na aliyekuwa katibu Lilian Omollo, waliotaka kesi dhidi yao kuhairishwa hadi washukiwa wengine wafikishwe mahakamani. Ni ombi ambalo limepingwa na upande wa mashtaka ukiongozwa na Mercy Gateru. Gateru alielezea mahakama kwamba tayair kuna amri ya kukamatwa washukiwa hao watatu na watawasilishwa mahakamani karibuni.

Show More

Related Articles