K24 TvNEWSSwahiliVideos

MAUAJI YA MARY WAMBUI

Mauaji ya mfanyabiashara Mary Wambui Kamangara mkewe Joseph Kori Karue aliyeuawa nyumbani kwa Judy Wangui anayedaiwa kuwa mpenzi wa pembeni wa Kori yamezidi kugonga vichwa vya habari.

Maswali mengi yamejitokeza kuhusiana na uchunguzi wa polisi. K24 imepata picha za kipekee za cctv kutoka maeneo tofauti ambazo huenda zikatoa mwanga kuhusu mauaji hayo.

Aidha dereva aliyedaiwa kuitwa kuusafirisha mwili wa marehemu amepasua mbarika akidai kuitwa na Judy Wangui baada ya mauaji hayo tatanishi.

Show More

Related Articles