English VideosK24 TvNEWSVideos

MWANAHARAKATI ATOWEKA DANDORA

Maafisa wa polisi wameanza juhudi za kumtafuta mwanaharakati wa haki za kibinamu Caroline Mwaatha Ochie’ng mwenye umri wa miaka 38 aliyetoweka siku ya Jumaatano wiki iliyopita.

Hii leo familia ya mwanaharakati huyo, ikiongozwa na babake Muya Mbai na mamake Ann Mbai, iliripoti kisa hicho kwenye kituo cha polisi cha Dandora.

Show More

Related Articles