English VideosK24 TvNEWSVideos

KALONZO KIKAANGONI

Gavana wa Machakos Dkt. Alfred Mutua sasa amemtaka kinara wa Wiper; Kalonzo Musyoka, kumuunga mkono katika azma yake ya kuingia ikulu.

Mutua anasema matamshi ya majuzi ya Kalonzo kwamba kuongezwe muhula wa kuhudumu rais ni ya kusikitisha kwa kuwa yataathiri taifa linaloendelea kufurahia matunda ya maamkuzi ya Machi  tisa mwaka uliopita.

Haya yanajiri huku baadhi ya wabunge wa Jubilee wakimwambia Kalonzo kwamba ajizatiti kukabiliana na Jubilee kwenye debe mwaka 2022.

Show More

Related Articles