English VideosK24 TvNEWSVideos

MTORO WA POMBE HARAMU

Idara ya Upelelezi ya jinai na shirika la kimataifa la Interpol limeanza rasmi operesheni ya kumrejesha humu nchini bwanyenye anayemiliki kampuni ya mvinyo ya Africa Spirits Limited; Humphrey Kariuki.

Hii ni baada ya mfanyabiashara huyo kugunduliwa kuhusika katika biashara ya utengenezaji wa pombe haramu.

Kariuki anaaminika kutorokea nchini Zambia wiki chache kabla ya msako huo, ambapo maelfu ya lita za pombe haramu na mihuri bandia ilipatikana katika kiwanda hicho.

Show More

Related Articles