HabariMilele FmSwahili

Mahakama yaridhia ushindi wa gavana wa Laikipia Nderitu Murithi

Mahakama ya upeo imeridhia ushindi wa gavana wa Laikipia Nderitu Murithi. majaji wa mahakama hiyo wamekataa ombi la mlalamishi Sammy Ndugu Waity aliyewasilisha kesi hiyo baada ya mahakama ya rufaa kuitupilia mbali julai mwaka jana. Ndugu aliitaka mahakama ya upeo kufutilia mbali ushindi wa gavana Murithi akidai uchaguzi wa 2017 haukuwa huru na haki kwa kuwa baadhi ya wapiga kura hawakupata fursa ya kushiriki uchaguzi huo.

Show More

Related Articles