HabariMilele FmSwahili

Serikali ya kaunti ya Taita Taveta yawashtaki wauguzi wanaogoma

Serikali ya kaunti ya TaitaTaveta imekishtaki chama cha wauguzi  kaunti hiyo kwa kukaidi amri ya kurudi kazini, hatua ambayo imesambaratisha huduma za afya kwenye hospitali za umaa. Hata hivyo wawakilishi wa chama hicho wamesema hawajafahamishwa kuhusu kesi hiyo hivyo hawatafika mahakamani hii leo. Ni licha ya  jaji Farah Amin kuitaja kesi hiyo kama ya dharura.

Show More

Related Articles