Swahili Videos

Mwanamke ajitia kitanzi Kakamega

Wenyeji wa kijiji cha Navakholo kaunti ya Kakamega, wameamkia kizaazaa baada ya mwanamke mmoja kujitia kitanzi nyumbani mwake.
Aisha wanekeya mama ya watoto wawili alijitia kitanzi, baada ya kung’amua kuwa mumewe aliyekuwa jijini Nairobi, ameamua kumwoa mke wa pili.

Show More

Related Articles