Swahili Videos
Mabadiliko katika baraza la sheria

Jaji mkuu David Maraga ameahidi mabadiliko makubwa katika idara ya mahakama hivi karibuni katika azma ya kukabiliana na kesi za ufisadi.
Maraga amesisitiza kwamba hajashinikizwa na yeyote katika mabadiliko ya hivi majuzi ya baadhi ya majaji, kama anavyotuarifu Caleb Ratemo.