Swahili Videos

Mgomo wa wauguzi : Kamati ya senate yawahoji wakuu wa leba

Muungano wa wauguzi hii leo umekutana na kamati ya seneti kuhusu leba kujadiliana kuhusu migomo inayoendelea katika kaunti mbali mbali.
Muungano huo unadai kuwa baraza la magavana linafanya juu chini kuzuia utekelezaji wa mkataba wa makubaliano kuhusu nyongeza ya marupurupu wa mwaka wa 2017.

Show More

Related Articles