Swahili Videos

Waziri Matiang’i aizindua bodi mpya ya NTSA rasmi Nairobi

Waziri wa usalama wa ndani Dkt. Fred Matiang’i ametishia kuwafuta kazi wasimamizi wote wa mamlaka ya usafiri na usalama barabarani ntsa baada ya baadhi ya wakurugenzi wake 6 kutiwa nguvuni na kushtakiwa kuhusiana na kufanana kwa nambari za usajili wa magari.
Matiang’i ambaye alitembelea makao makuu ya NTSA jioni hii aliomba msamaha kwa utepetevu katika mamlaka hiyo huku akiahidi kwamba hakuna atakayesazwa hadi pale wakiritimba na wasimamizi wazembe watakapotimuliwa.

Show More

Related Articles