Swahili Videos

Washukiwa 2 wazuiliwa katika mauaji ya Mildred Odira

Ni wazi kuwa Mildred Odira mfanyikazi wa kampuni ya Nation Media aliuawa.
Kulingana na ripoti ya upasuaji, Mildred alipigwa kwa kifaa butu kichwani, kukatwa sehemu ya kichwani na kujeruhiwa vibaya miguuni.
Franklin Wallah ana taarifa hiyo akichanganua uchunguzi wa polisi umefikia wapi katika kutanzua mauaji hayo.

Show More

Related Articles