Swahili Videos

  Uvuvi vidimbwini : Wavuvi wauchangamkia  uvuvi vidimbwini Nyanza

Kulingana na watafiti, samaki katika ziwa Victoria wamezidi kupungua kwa kiasi kikubwa kila kukicha jambo linalochangiwa na ongezeko la wavuvi ziwani,utumizi wa nyavu zisizofaa na pia kuenea kwa gugu maji ziwani.

Kutokana na hali hii, wavuvi katika ziwa hilo wamepungukiwa na pato lao la kila siku huku baadhi wakijiunga makundi na kuchimba vidimbwi vya kufuga samaki kwenye boma zao.

Hii leo wavuvi hao wanatabasamu kwa pato la maelfu ya pesa kupitia uvuvi usioendelezwa ziwani victoria.huyu hapa Dennis Matara na simulizi ya makala ya uvuvi vidimbwini.

Show More

Related Articles