Swahili Videos

Patrick Kilonzo anayewanywesha maji wanyama pori augua

Je unamkumbuka msamaria mwema Patrick Kilonzo Mwalua kutoka Voi aliyekuwa akiwanywesha maji wanyama pori katika mbuga ya wanyama ya tsavo magharibi?
Patrick, japo amekuwa akiendelea kuwa msamaria mwema kwa miaka minne, sasa anaugua maradhi ya figo.
Kwa hivi sasa, amelemewa, hana nguvu ya kuwasaidia wanyama kwani yupo hospitalini akisuburi kufanyiwa upasuaji kubadili figo zake.
Kwa mara nyingine, Dennis Matara alimtembelea katika hospitali ya Voi alikolazwa na kukuandalia makala yafuatayo.

Show More

Related Articles