HabariMilele FmSwahili

KNUT yataka serikali kuweka mikakati kuboresha usalama katika shule za umma nchini

Chama cha walimu nchini kinaitaka serikali kuweka mkakati wa koboresha usalama katika shule za umma nchini katibu mkuu wa KNUT Wilson Sossion anasema Kenya haijahakikisha kuwa sheria za kuwahakikishia usalama walimu na wanafunzi zimezingatiwa kikamilifu. Amesema hayo kufuatia kisa cha kuuwawa mwalimu katika shule moja huko Nakuru.

Kadhalika Sossion amelitaka baraza la mitihani nchni KNEC kuweka bayana sababu za kufutilia mbali matokeo ya mtihani wa KCSE kwa wanafunzi katika eneo la Kaskazini Mashariki.

Show More

Related Articles