HabariMilele FmSwahili

Mahakama yabatilisha uamuzi wa kuwaruhusu wanafunzi waislamu kuvalia hijab shuleni

Mahakama ya juu imebatilisha uamuzi wa mahakama ya rufaa kuwaruhusu wanafunzi wa kiislamu kuvaa hijabu wakiwa shuleni. Uamuzi huu umefuatia kesi iliyowasilishwa na kanisa la kimethodisti nchini. Kanisa hilo lilipinga uamuzi uliotolewa Septemba mwaka jana na majaji wa mahakama ya rufaa Phillip Waki, Roselyne Nambuye na  Patrick Kiage, walioiagiza wizara ya elimu kuhakikisha kuwa sheria za shule haziwabagui wanafunzi kwa misingi ya kidini.

Show More

Related Articles