HabariMilele FmSwahili

Uteuzi wa Matiang’i waendelea kuibua hisia mseto

Uteuzi wa waziri wa usalama Dr.Fred Matiang’i kama mwenyekiti wa kamati maalum itakayofuatilia miradi yote ya serikali unaendelea kuibua hisia nchini. Baadhi wanautaja kama ishara ya rais Uhuru Kenyatta kuwa na imani na  utendakazi wake wengine wakiutafsri kuwa  pigo kwa utendakazi wa naibu rais Dr.William Ruto.

 

.

Show More

Related Articles