SwahiliSwahili Videos

Uteuzi wa Matiang’i wavutia siasa na hisia mseto

Mseto wa hisia unazidi kuibuka kuhusu uteuzi wa waziri wa usalama Dr Fred Matiang’i kusimamia utekelezwaji wa miradi ya serikali.
Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria licha ya kumpa kongole Matiangi, amekosoa uteuzi huo akisema umeendeshwa pasi na mabadiliko ya katiba kutekelezwa kwanza huku seneta wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen, ambaye ni mwandani zaidi wa naibu rais William Ruto akipongeza uteuzi wa Matiang’i na kumtaka awajibikie wadhifa huo kwa manufaa ya wakenya.

Show More

Related Articles