HabariMilele FmSwahili

Waziri Matiang’i ateuliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya kuratibu mipango yote ya serikali

Waziri wa usalama Dr.Fred Matiangi ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa kamati maalum itakayoongoza na kuratibu mipango yote ya serikali itakayojulikana kama National Development Implementation and Communication Committee. Rais Uhuru Kenyatta amemteua Dr.Matiang’ kuongoza kamati hiyo itayojumuisha mawaziri wote,mwanasheria mkuu kihara kariuki na mkuu wa utumishi wa umma Joseph Kinyua.

Show More

Related Articles