HabariMilele FmSwahili

Bodi ya NCPB kuanza kununu mahindi kutoka kwa wakulima kuanzia kesho

Bodi ya mazao na nafaka nchini NCPB itaanza kununua mahindi kutoka kwa wakulima kuanzia kesho. Kwa kila gunia la kilo 90, mkulima atalipwa shilingi elfu 2,500. Hata hivyo tangazo la serikali kwamba itanunua  magunia 400 pekee kutoka kwa kila mkulima haijapokolewa vyema, wakulima wakilalama kwamba mahindi wayakayosalia nayo yataaribika na kuwasababishia hasara

Show More

Related Articles