HabariMilele FmSwahili

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi kuandamana kulalamikia mauaji ya wenzao

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi wanapangiwa kuandaa maandamanano ya amani katika barabara kuu ya Uhuru Highway hapa jini Nairobi. Maandamano hayo yataongozwa na kiongozi wa wanafunzi Antony Manyara hadi majengo ya bunge kuwasilisha malalamisjhi yao kuhusiana na ongezeko la visa vya mauaji ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchni na pia baadhi ya masuala ya ndani ya chuo hicho. Wanadai kuwa serikali haijachukau hatua madhubuti kukabiliana na visa vya wanafunzi wa vyuo kuuwawa kinyama.

Show More

Related Articles