K24 TvNEWSSwahiliVideos

GUMZO LA SIASA

Mgogoro unaokikumba chama cha Jubilee huenda ukapelekea usimamizi wa chama kuitisha uchaguzi wa maafisa wake wakuu hasa baada ya kujiuzulu kwa Naibu mwenyekiti David Murathe na vile vile kutoonekana pakubwa kwa mwenyekiti wa chama hicho ambaye wengi wa wanachama hawamfahamu.

Kiongozi wa chama cha Jubilee, rais Uhuru Kenyatta, akiwa amesisitiza kuwa ni sharti viongozi wote kutupia jicho ajenda nne kuu za maendeleo huku  wengi wakisistiza kwamba ni vyema kwa chama kuandaa uchaguzi wa viongozi wake kabla maji hayajazidi unga.

Show More

Related Articles