K24 TvNEWSSwahiliVideos

SHAMBULIZI LA DUSIT D2: Washukiwa 6 wa ugaidi waskwa Isiolo

Polisi wanawasaka washukiwa sita wanaoaminika kuhusika kwenye njama ya shambulizi la  hoteli ya Dusit .

Washukiwa hao ambao wote wametoka kaunti ya Isiolo, wamepelekea makachero wa uchunguzi kuangazia darubini yao katika kaunti hiyo ambako inaaminika kuwa kuna watu wanaowashawishi vijana kujiunga na kundi la Al Shabaab.

Show More

Related Articles