K24 TvNEWSSwahiliVideos

IBADA YA KADINALI OTUNGA

Kiongozi wa kanisa la Katoliki nchini, Kadinali John Njue, amesifia mchango wa aliyekuwa mtangulizi wake mtumishi wa Mungu mwendazake, Kadinali Maurice Otunga.

Akizungumza katika Chuo Kikuu cha Kenyatta kwenye misa maalum ya kuelezea hatua zilizopigwa katika kumtawaza Kadinali Otunga kama mtakatifu, Kadinali Njue amesema wanasubiri ushuhuda wa miujiza katika hatua ya mwisho ya kumuita mtakatifu.

Show More

Related Articles