HabariSwahiliSwahili Videos

Jamaa waendelea kusaka miili ya waathiriwa wa shambulizi la Riverside

Shughuli za kutambua miili ya waliongamia katiki shambulizi la kigaidi la Dusit D2, zimeendelea hii leo katika chumba cha kuhifadhi maiti cha Chiromo hapa Nairobi.
Haya yanajiri huku shirika la Msalaba Mwekundu likithibitisha kuwa watu wote 94 waliokuwa hawajulikani waliko,  wamepatikana kufikia sasa.

Show More

Related Articles