HabariMilele FmSwahili

Kesi ya ufisadi dhidi ya naibu jaji mkuu Philomena Mwili inatarajiwa kuendelea leo

Kesi ya ufisadi dhidi ya naibu jaji mkuu Philomena Mwili inatarajiwa kuendelea leo. Kikao cha majaji watano kinatarajiwa kusikiliza kesi hiyo iliwasilioshwa na mkurugenzi wa mashtaka ya umma akitaka mwili kufunguliwa mashtaka katika mahakama ya hakimu. Jaji mkuu David Maraga aliunda kikao cha majaji hao Chacha Mwita William Musyoka Hellen Omondi Francis Tuiyot na Mumbi Ngugi kuamua hatma ya jaji Mwili anayekabiliwa na mashtaka takribani 1o ya ufisadi na uhalifu. Hata hivyo naibu jaji mkuu huyo amepinga kushtakiwa katika mahakama ya hakimu.Aidha kesi ya Mwilu inatarajiwa kuongozwa na wakili kutoka uingereza  Khawar Qureshi  baada ya kupokea idhini kutoka mkuu wa sheria Kihara Kariuki.

Show More

Related Articles