HabariPilipili FmPilipili FM News

Wakaazi Wa Taita Taveta Walalamikia Kukithiri Kwa Usumbufu Kutoka Kwa Wanyamapori.

Huenda wakaazi wa kaunti ya Taita Taveta wakalazimika kuchukua sheria mikononi mwao kama njia mojawapo ya kujinasua kutokana na kero la Wanyamapori hususan ndovu wanaowa hangaisha.

Mbunge wa mwatate Andrew Mwadime anasema mwanachi  anaruhusiwa kisheria kuumiza au hata kuua mnyama iwapo mnyama huyo anahatarisha maisha yake.

Kwa muda sasa wakazi waliyopakana na mbuga ya Tsavo katika sehemu mbalimbali kaunti ya Taita Taveta wamekuwa wakihangaishwa na ndovu wanaorandaranda nje ya mbuga hiyo, na kusababisha hasara kubwa katika mashamaba yao.

Show More

Related Articles