SwahiliSwahili Videos

Raila, Kalonzo, Ngilu walaani shambulizi la kigaidi Riverside

Viongozi mbali mbali wa kisiasa wameungana kulaani vikali tukio la kigaidi hiyo jana katika jumba la Dusit jijini Nairobi.
Viongozi hao wanalolitaja tukio hilo la kihaini na la woga, wamesifia juhudi za serikali kupitia vikosi vya usalama kukabiliana na magaidi hao..
Aidha wamewafariji waathiriwa wakisema kwamba taifa limeungana kwa pamoja kukabiliana na ugaidi.

Show More

Related Articles