HabariMilele FmSwahili

Matokeo ya watahiniwa 3,427 wa mtihani wa KCSE 2018 yafutiliwa mbali

Matokeo ya watahiniwa 3,427 waliofanya mtihani wa KCSE mwaka jana yamefutiliwa mbali. Baraza la mtihani KNEC linasema uchunguzi umedhibitisha watahiniwa hao walishiriki udanganyifu. Akitoa matokeo ya uchunguzi huo,mwenyekiti wa KNEC profesa George Magoha hata hivyo ametangaza afueni kwa watahiniwa 1,275 ambao watapata matokeo yao

Show More

Related Articles