English VideosK24 TvNEWSVideos

MWANAFUNZI ALIYEPOTEA DISEMBA ANGALI KUPATIKANA

Familia moja kutoka kijiji cha Jordan eneo bunge la Njoro, kaunti ya Nakuru, imejipata kwenye hali ya taharuki baada ya mwanao mwenye umri wa miaka 24 kupotea kwa wiki mbili sasa.

Susan Njoki alionekana mara ya mwisho tarehe 31 mwezi Disemba mwaka jana mjini Nairobi.

Show More

Related Articles