HabariPilipili FmPilipili FM News

Idara Ya Mahakama Yashtumiwa Kwa Kuhujumu Vita Dhidi Ya Ufisadi..

Idara ya mahakama kwa mara nyengine imeshtumiwa kwa kuhujumu vita dhidi ya ufisadi.

Kinara wa ODM Raila Odinga ameilaumu idara hiyo kwa kuendelea kuruhusu washukiwa wa ufisadi kuachiliwa kwa dhamana, hali anayohoji inasababisha ushahidi kuhitilafiwa.

Haya yanajiri wakati muungano wa kitaifa wa wadau katika vita dhidi ya ufisadi ukipanga kongamano la kitaifa la kujadili mwafaka kuhusu njia bora za kupambana na tatizo hilo.

Show More

Related Articles