HabariPilipili FmPilipili FM News

Gavana Sonko Kumtangaza Naibu Wake Leo.

Gavana wa kaunti ya Nairobi Mike Sonko anatarajiwa kumtangaza naibu gavana wake mpya wakati wowote hii leo.

Wawaniaji wanne wanawake wameorodheshwa kuwania wadhfa huo.

Wanne hao ni aliyekuwa mbunge wa Starehe Margaret Wanjiru, mwanaharakati wa masuala ya jinsia Agnes Kagure, wakiwemo mawakili Karen Nyamu na Jane Weru.

Show More

Related Articles