HabariMilele FmSwahili

Mwanaume auwawa baada ya jaribio la kuwauwa watoto na mamake mzazi kutibuka Lari, Kiambu

Mwanaume mwenye umri wa makamo amepigwa hadi kuuwawa na umati katika kijiji cha Muchenga lari kaunti ya Kiambu kwa tuhuma za kujaribu kuwaua watoto 3 na mamake mzazi. Kwa mujibu wa chifu wa eneo hilo Peter Wambari Chege marehemu ambaye anafahamika kama Kamau amekuwa akijihusisha na vitendo vya uhalifu jambo ambalo lilichangia mkewe kumtoroka na kumwachia watoto wadogo. Kwa sasa mamake anapokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya Kiambu.

Show More

Related Articles