Swahili Videos

Nyama hatari Nairobi?

Maafisa wa upelelezi hii leo wameendeleza msako mkali na kunasa katoni kadhaa za samaki na nyama iliyokua imeharibika.
Shehena hiyo ilinaswa kwenye nyumba moja katika mtaa wa kilimani  hapa jijini Nairobi wanakoishi raia watatu wa uchina waliotiwa nguvuni siku ya Jumanne .

Show More

Related Articles