Swahili Videos

Kipindupindu Narok ? Watu 9 zaidi walazwa hospitalini

Idadi ya watu wanaodaiwa kuuugua maradhi ya kipindupindu imeongezeka hadi 26 ,hii ni baada ya watu wengine 9  kufikishwa kwenye hospitali ya rufaa ya Narok.
Kufikia sasa watu wawili wameaga dunia huku wengine wakiendelea kupokea matibabu.
Kimani Githuku anatuarifu zaidi kuhusu hofu hii mkurupuko wa maradhi ya kipindupindu .

Show More

Related Articles