HabariPilipili FmPilipili FM News

Waliokua Wanachama Cha URP Wajuta Kukivunja Chama Hicho.

Wanachama wa kisiasa wa chama cha  zamani cha URP sasa wajuta kuamua kukivunja chama chao na kujiunga na chama cha TNA  walipoamua kuunda chama kimoja cha Jubilee.

Seneta wa Meru Mithika Linturi amedhibitisha kuwa wanachama wengi wa URP walikuwa na dukuduku walipokuwa wanaunda chama chao kipya kwa sababu wanachama cha TNA walionekana kuwa na ajenda fiche.

Linturi amesema hayo kufuatia mgogoro unaoshuhudiwa katika chama tawala cha Jubilee.

Show More

Related Articles