HabariPilipili FmPilipili FM News

Wakaazi Mombasa Wapongeza Serikali Kwa Maendeleo.

Wakaazi wa kaunti ya Mombasa wamepongeza serikali kwa maendeleo yaliofanywa kufikia sasa katika maeneo mengi ya kaunti tangu kukamilika kwa uchaguzi wa agosti nane mwaka wa 2017.

Kauli zao zimeonekana kuwiana na kauli aliyoitoa rais Uhuru Kenyatta – akizungumza wakati alipozindua mradi wa kunadhifisha bustani ya Mama Ngina hapa mombasa – akisema kwamba ataendelea kufanya maendeleo katika kaunti zote 47 nchini bila mapendeleo.

 

Show More

Related Articles