HabariPilipili FmPilipili FM News

Viongozi Kutoka Mlima Kenya Wametaka Rais Kenyatta Apewe Heshima.

Viongozi kutoka eneo la mlima Kenya wametaka rais Uhuru Kenyatta aheshimiwe pamoja na afisi yake.

Wakiongea na wanahabari, viongozi hao wakiongozwa na aliyekuwa mgombea wa urais Peter Keneth wanasema rais Uhuru Kenyatta amekuwa mstari wa mbele katika kufanya maendeleo kwa wakenya tangu alipoingia afisini.

Wamepuuzilia mbali madai kwamba eneo la kati limetengwa katika miradi ya maendeleo.

Naye kinara wa NARC Kenya Martha Karua wamewataka baadhi ya wanasiasa kutoingiza siasa katia suala zima la salamu za maridhiano maarufu HANDSHAKE.

Show More

Related Articles