HabariSwahiliSwahili Videos

Mbunge wa Bahati Kimani Ngunjiri asakwa na polisi

Mbunge wa Bahati Kimani Ngunjiri kwa sasa anasakwa na maafisa wa polisi eneo la Nakuru baada ya kuhutubia wanahabari hii leo kutokana na mtafaruku wa matamshi ambayo huenda yakamtia taabani.

Ngunjiri anasemekana kutoweka kighafla baada ya kupokea fununu kwamba anasakwa kutokana na kile ambacho kinasemekana kuwa amekosa kuiheshimu afisi ya rais na rais binafsi.

Show More

Related Articles