HabariMilele FmSwahili

Watu 5 wa familia moja wateketea katika mkasa wa moto Kipipiri, Nyandarua

Watu watano wa familia moja wameaga baada ya kutetekea kiasi cha kutotambulika kwenye mkasa wa moto ulitokea usiku wa kumkia leo kijiji cha Getabushi huko Kipiriri.Watano hao yasemekana walikuwa wamelala moto huo ulipozuka nyumbani kwao kiini chake kikisalia kitendawili. Polisi wameondoa miili yao kwenye eneo la mkasa uchunguzi ukianzishwa.

Show More

Related Articles