HabariPilipili FmPilipili FM News

Saida Abdurahman Kufikishwa Mahakamani.

Saida Abdurahman mwenye umri wa miaka 20 aliyedaiwa kutekwa nyara mnamo mwezi September mwaka jana anatarajiwa kushtakiwa mahakamani leo kwa kutoa taarifa ya urongo.

Familia ya Saida ilidai kuwa Saida alikuwamja mzito na alipoteza ujauzito huo wakati wa utekaji nyara huo.

Lakini baada ya kufanyiwa uchunguzi katika hospitali ya makadara hapa Mombasa ilibainika kwamba msichana huyo hana uwezo wa kushika mimba.

Saida atashtakiwa pamoja na mumewe Mohammed Abdulhakim.

Show More

Related Articles